News and Events Change View → Listing

Mhe. Balozi akutana na timu ya Taifa ya Futsal

Leo tarehe 2/2/2024, Mhe. Caesar C. Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia amekutana na timu ya Taifa ya Futsal ambayo itacheza dhidi ya Namibia siku ya tarehe 3/2/2024 katika Viwanja vya Windhoek…

Read More

President Samia wishes His Excellency President Hage Geingob a speedy recovery

President Samia has sent out a well wishes message to the Namibia President His Excellency Hage Geingob following his medical diagnosis.In a message to the President Hage Geingob, Her Excellency said: On…

Read More

Mhe. Balozi atembelewa na ujumbe wa Kamati ya Bajeti ya Bunge la Jumuiya ya Madola (CPA)

Mhe. Caesar Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia Leo ametembelewa na ujumbe wa Kamati ya Bajeti ya Bunge la Jumuiya ya Madola (CPA) iliyoongozwa na Mhe. Rose Tweve (Mb), kwa lengo la kusalimia na…

Read More

Mhe. Balozi akutana na Waziri wa Kazi, Mahusiano ya Viwanda na Ajira wa Namibia

Mhe. Caesar Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia amekutana na Mhe. Utoni Nujoma. Waziri wa Kazi, Mahusiano ya Viwanda na Ajira wa Namibia kwa lengo la kujitambulisha na kujadili maeneo ya mashirikiano…

Read More

Mhe. Balozi akutana na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii Namibia

Mhe. Caesar C. Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia amekutana na Bw. Bornventura Mbidzo, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii Namibia kwa lengo la kujitambulisha na kuzungumzia maeneo ya…

Read More

Mhe. Balozi atembelewa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Utawala (IUM)

Mhe. Balozi Ceasar Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia ametembelewa na Prof. Osmund D. Mwandemele, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Utawala (International University of Management -IUM)…

Read More

Mhe. Balozi atembelewa na Mwambata Jeshi Brg. Gen. Mohamed S. Mohamed

Leo tarehe 12 Disemba, 2023, Mhe. Caesar C. Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia ametembelewa na Brg. Gen. Mohamed S. Mohamed, Mwambata Jeshi Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia. Brg. Gen Mohamed…

Read More

Mhe. Balozi akutana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya nje Namibia, pamoja na baadhi ya Wakuu wa Idara

Leo tarehe 12 Disemba, 2023, Mhe. Caesar C. Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia amekutana na Balozi Penda Naanda, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Namibia na baadhi ya Wakuu wa Idara wa Wizara…

Read More