Leo tarehe 12 Disemba, 2023, Mhe. Caesar C. Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia ametembelewa na Brg. Gen. Mohamed S. Mohamed, Mwambata Jeshi Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia. Brg. Gen Mohamed anashiriki Mkutano wa wataalam wa PSC wa AU unaofanyika Windhoek, Namibia.