Ubalozi wa Tanzania Nchini Namibia Waadhimisha Siku ya Kiswahili Duniani
Leo, tarehe 11 Julai 2026, Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Namibia unadhimisha Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Kiswahili kwa kuwakutanisha wadau mbalimbali katika kusherehekea lugha ya Kiswahili na mchango wake… Read More








