Mhe. Balozi Caesar Waitara amtembelea Naibu Waziri wa Uhusiano wa Kimataifa na Ushirikiano wa Namibia Mh. Jenelly Matundu
Mh. Caesar Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia amemtembelea Mhe. Jenelly Matundu (Mb), Naibu Waziri wa Uhusiano wa Kimataifa na Ushirikiano wa Namibia kwa lengo la kujitambulisha na kuzungumzia masuala…
Read More






