Mhe. Caesar Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia Leo ametembelewa na ujumbe wa Kamati ya Bajeti ya Bunge la Jumuiya ya Madola (CPA) iliyoongozwa na Mhe. Rose Tweve (Mb), kwa lengo la kusalimia na kufahamu shughuli zinazofanywa na Ubalozi.
Get latest updates from the High Commission in Your Inbox