News and Events Change View → Listing

Ubalozi watembelewa na Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima

Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia tarehe 2 Septemba 2025 umepata heshima ya kutembelewa na Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa maendeleo ya jamii, Jinsia, Wanawake  na Wenye Mahitaji Maalum pamoja na…

Read More

Mhe. Balozi ampokea Mhe. Waziri Dkt. Dorothy Gwajima

Balozi wa Tanzania nchini Namibia Mhe. Caesar C. Waitara, amempokea Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Mahitaji Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima aliyewasili nchini humo leo tarehe 1…

Read More

BALOZI WAITARA AFUNGUA MAFUNZO YA KISWAHILI, NAMIBIA.

Balozi wa Tanzania nchini Namibia Mhe. Caesar C. Waitara, amefungua mafunzo maalum ya lugha ya Kiswahili kwa ngazi ya awali jijini Windhoek, Namibia.Akifungua mafunzo hayo Julai 25, 2025 Balozi Waitara ambaye…

Read More

Mhe. Balozi Caesar. C. Waitara amwakilisha Mhe. Jumaa Hamidu Aweso (Mb), Waziri wa Maji katika Mkutano wa 12 wa Kamisheni ya Bonde la Mto Zambezi

Leo tarehe 15/5/2025, Mheshimiwa Caesar Chacha Waitara, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Namibia amemwakilisha Mheshimiwa Jumaa Hamidu Aweso (Mb), Waziri wa Maji katika Mkutano wa 12 wa…

Read More

Mhe Balozi Caesar C. Waitara atembelewa na Gavana wa Khomas Mhe. Sam Shafiishuna Nujoma

Leo tarehe 7/5/2025, Mhe. Caesar C. Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia ametembelewa katika ofisi za Ubalozi na Mhe. Sam Shafiishuna Nujoma, Gavana wa Mkoa wa Khomas, jijini Windhoek, Namibia.Lengo la…

Read More

Kongamano la Kwanza la Kiswahili

Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia kwa kushirikiana na Chuo cha Triumphant ziliandaa Kongamano la Kwanza la Kiswahili lililozungumzia mchango wa lugha ya Kiswahili katika harakati za ukombozi wa nchi za Kusini…

Read More

Mhe. Balozi afanya mazungumzo Ubalozini na baadhi ya watoa mada katika Kongamano linalohusu mchango wa Lugha ya Kiswahili katika harakati za ukombozi wa nchi za Kusini mwa Afrika hususan Namibia

Leo tarehe 24 Aprili 2025, Mhe. Caesar C. Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia amekutana na kufanya mazungumzo katika Ofisi za Ubalozi na baadhi ya watoa mada katika Kongamano linalohusu mchango wa Lugha…

Read More

Mhe. Balozi Caesar.C. Waitara akutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Frans Kapofi (Mb), Waziri wa Ulinzi na Masuala ya Wapigania Uhuru wa Namibia (Ministry of Defense and Veteran Affairs)

Leo tarehe 24 Aprili 2025, Mhe. Caesar C. Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Frans Kapofi (Mb), Waziri wa Ulinzi na Masuala ya Wapigania Uhuru (Ministry of…

Read More