Leo tarehe 2/2/2024, Mhe. Caesar C. Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia amekutana na timu ya Taifa ya Futsal ambayo itacheza dhidi ya Namibia siku ya tarehe 3/2/2024 katika Viwanja vya Windhoek Showgrounds nchini Namibia ili kufuzu mashindano ya AFCON.



