News and Events Change View → Listing

Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia washiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Jumuiya ya Madola

Leo tarehe 11/03/2024 Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia umeshiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Jumuiya ya Madola yaliyofayika katika viwanja vya Bunge la Namibia kwa kutangaza vyakula vya kitanzania pamoja…

Read More

Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni Sefue atembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia

Leo tarehe 7/3/2024 Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia umetembelewa na Mhe. Balozi Ombeni Sefue, Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu kwa lengo la kushiriki ufunguzi wa Mpango wa Hiari wa Afrika wa Kujitathimini…

Read More

Mabalozi watembelea Ubalozi kusaini kitabu cha maombolezo

Leo tarehe 7/3/2024 Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Namibia (Congo Brazzaville, Iran na Venezuela) wametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia ili kusaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha…

Read More

Waziri Mkuu wa Namibia atembelea Ubalozi wa Tanzania kusaini kitabu cha maombolezo

Leo tarehe 7/3/2024 Mhe. Saara Kuugongelwa-Amadhila (Mb), Waziri Mkuu wa Namibia ametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia na kusaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais…

Read More

Mabalozi waendelea kusaini kitabu cha maombolezo

Leo tarehe 6/3/2024 Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Namibia (Afrika Kusini, Indonesia, EU, Libya, Nigeria, Uturuki, Zambia na Zimbabwe) wametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia ili kusaini…

Read More

Waziri wa Uhusiano wa Kimataifa na Ushirikiano wa Namibia atembelea Ubalozi kusaini kitabu cha maombolezo

Leo tarehe 6/3/2024 Mhe. Dkt. Peya Mushelenga , Waziri wa Uhusiano wa Kimataifa na Ushirikiano wa Namibia ametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia na kusaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Mzee…

Read More

Viongozi wa Jumuiya ya Diaspora watembelea Ubalozi kusaini kitabu cha maombolezo

Viongozi wa Jumuiya ya Diaspora nchini Namibia wametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia ili kusaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais wa Awamu ya Pili wa Tanzania…

Read More

Mabalozi waendelea kujitokeza kusaini kitabu cha maombolezo

Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Namibia (Algeria, China, Kenya, Japan, Spain, Ujerumani, Uingereza, Urusi) wametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia ili kusaini kitabu cha maombolezo kufuatia…

Read More