News and Resources Change View → Listing

Delegates from Tanzania attending a three-day benchmarking visit on Public Diplomacy at the Ministry of International Relations and Cooperation (MIRCO)

A three-member delegation from the Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation of the United Republic of Tanzania consisting of Amb. Mindi Kasiga, Head of Government Communication Unit and Ms.…

Read More

Balozi Mindi Kasiga, Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali akutana na Mheshimiwa Balozi Caesar Waitara

Leo tarehe 1 Octoba 2024, Balozi Mindi Kasiga, Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serkali amekutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Caesar Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia kuhusu ziara ya…

Read More

HESLB yatembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia

Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia umepata wasaa wa kutembelewa na ujumbe kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu ya Tanzania (HESLB) ambayo ipo katika ziara ya kikazi nchini Namibia. Lengo la…

Read More

Dkt. Susan A. Kolimba, aliyekuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki atembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia

Leo tarehe 1 Agosti, 2024, Ubalozi umetembelewa na Dkt. Susan A. Kolimba aliyekuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ambaye amewasili nchini Namibia kushiriki Mkutano wa Kimkakati…

Read More

Mhe Balozi Caesar Waitara afanya mahojiano ya uzinduzi rasmi wa kuionesha Royal Tour Film kupitia Television ya Taifa ya Namibia Broadcasting Corporation (nbc)

Leo tarehe 27 Juni 2024 Mhe. Caesar C. Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia amefanya mahojiano ya uzinduzi rasmi wa kuionesha Royal Tour Film kupitia Television ya Taifa ya Namibia Broadcasting…

Read More

Mhe. Balozi Caesar Waitara ameshiriki na kushuhudia ukabidhiwaji kijiti kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar

Leo, 21/6/24 Mhe Caesar C. Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia ameshiriki na kushuhudia ukabidhiwaji kijiti kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar na Kamisheni ya Utalii Zanzibar kuwa wenyeji wa…

Read More

Mhe. Balozi afanya kikao kazi na Jumuiya ya Watanzania waishio nchini Namibia

Leo tarehe 15/06/2024, Mhe. Caesar Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia amefanya kikao kazi na Jumuiya ya Watanzania waishio nchini Namibia. Lengo lilikua ni kujadili masuala mbalimbali yanayowahusu…

Read More