USHIRIKI WA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI NAMIBIA KATIKA MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA ONGWEDIVA 20 - 31 AGOSTI 2025
Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Namibia umeshiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Ongwediva (Ongwediva Annual Trade Fair - OATF) yaliyofanyika kuanzia tarehe 20 hadi 31 Agosti…
Read More

