News and Events Change View → Listing

Rais Mstaafu Mhe. Dkt Jakaya Kikwete akitia saini kitabu cha maombolezo

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ametia saini kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa Jamhuri ya Namibia nchini, kufuatia kifo cha Rais wa Jamhuri ya…

Read More

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan asaini kitabu cha maombolezo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Rais wa Jamhuri ya Namibia Hayati Dkt. Hage G. Geingob. Rais Samia alisaini kitabu hicho katika…

Read More

President Samia Suluhu Hassan offers condolences for the passing of President Hage Geingob

President Samia Suluhu Hassan has joined a growing list of heads of state in offering the message of condolence following the passing of the Namibia President Hage Geingob.“I am deeply saddened to learn of…

Read More

Timu ya Taifa ya Futsal yaibuka mshindi

Timu ya Taifa ya Futsal imeibuka mshindi kwa magoli 5 kwa 2, dhidi ya timu ya Namibia. Mhe Ceasar C. Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia pamoja na watumishi wa Ubalozi wameshiriki kikamilifu katika…

Read More

Mhe. Balozi akutana na timu ya Taifa ya Futsal

Leo tarehe 2/2/2024, Mhe. Caesar C. Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia amekutana na timu ya Taifa ya Futsal ambayo itacheza dhidi ya Namibia siku ya tarehe 3/2/2024 katika Viwanja vya Windhoek…

Read More

President Samia wishes His Excellency President Hage Geingob a speedy recovery

President Samia has sent out a well wishes message to the Namibia President His Excellency Hage Geingob following his medical diagnosis.In a message to the President Hage Geingob, Her Excellency said: On…

Read More

Mhe. Balozi atembelewa na ujumbe wa Kamati ya Bajeti ya Bunge la Jumuiya ya Madola (CPA)

Mhe. Caesar Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia Leo ametembelewa na ujumbe wa Kamati ya Bajeti ya Bunge la Jumuiya ya Madola (CPA) iliyoongozwa na Mhe. Rose Tweve (Mb), kwa lengo la kusalimia na…

Read More

Mhe. Balozi akutana na Waziri wa Kazi, Mahusiano ya Viwanda na Ajira wa Namibia

Mhe. Caesar Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia amekutana na Mhe. Utoni Nujoma. Waziri wa Kazi, Mahusiano ya Viwanda na Ajira wa Namibia kwa lengo la kujitambulisha na kujadili maeneo ya mashirikiano…

Read More