Leo tarehe 11/03/2024 Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia umeshiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Jumuiya ya Madola yaliyofayika katika viwanja vya Bunge la Namibia kwa kutangaza vyakula vya kitanzania pamoja na utamaduni