Leo tarehe 7/3/2024 Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Namibia (Congo Brazzaville, Iran na Venezuela) wametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia ili kusaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais wa Awamu ya Pili wa Tanzania.