Leo tarehe 18/03/2024 Mhe. Caesar Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia amefunga mafunzo na kutoa vyeti kwa wahitimu wa mafunzo ya masuala ya hali ya hewa wa Namibia. Mafunzo hayo yalitolewa na wataalam kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa ya Tanzania.