Leo tarehe 31/5/2024, Mhe. Stephen Mbundi Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amekutana na Balozi Penda Naanda, Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje ya Namibia katika Wizara hiyo, kwa lengo la kujadili masuala ya kimkakati ya kisekta yanayohusu Tanzania na Namibia kwa ajili ya utekelezaji