Leo tarehe 28/3/2024 Balozi wa Tanzania nchini Namibia amekutana na Katibu Mkuu Kiongozi wa Namibia pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo ya Namibia kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na Namibia hususan katika sekta ya Kilimo.