Leo tarehe 7/3/2024 Mhe. Saara Kuugongelwa-Amadhila (Mb), Waziri Mkuu wa Namibia ametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia na kusaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais wa Awamu ya Pili wa Tanzania kilichotokea tarehe 29/2/2024.