Leo tarehe 25 Oktoba, 2023 Mhe. Caesar Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia amekutana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Metro Bwa. Eswee van Wyk kwa lengo la kunadi bidhaa zinazopatikana Tanzania ili zianze kuuzwa nchini Namibia. Bwana Wyk ameonesha utayari.