Leo tarehe 19 Oktoba 2023, Balozi wa Tanzania nchini Namibia Mh. Caesar Chacha Waitara amewasilisha rasmi hati za utambulisho kwa Mh. Dkt. Hage Geingob, Rais wa Jamhuri ya Namibia.