Leo tarehe 23 Oktoba, 2023, Balozi wa Tanzania nchini Namibia Mh. Caesar Waitara amefanya mazungumzo na Bw. Hendrik Boshoff, mwekezaji kutoka Namibia mwenye nia ya kuwekeza katika machinjio ya kisasa na ranchi za kufugia mifugo nchini Tanzania.
Get latest updates from the High Commission in Your Inbox