Leo tarehe 25 Oktoba 2023, Mhe Caesar Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia amekutana na timu ya wataalam wa Maktaba kutoka Chuo Kikuu cha Namibia kwa lengo la kusimika mfumo wa uazimishaji vitabu vya Kiswahili kwa umma kutoka Maktaba ya Kiswahili ya Ubalozi