Mhe, Caesar Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia ashiriki Mkutano wa Saba wa Mawaziri wa Maji ( AMCOW ) ambao umeanza tareh 6-11 Novemba 2023, Mjini Swakopmund. Mhe. Balozi amemuwakilisha Mhe. Maryprisca Mahundi (Mb), Naibu Waziri, Wizara ya Maji.



