Leo Tarehe 18 Oktoba 2023, Balozi Mteule wa Tanzania nchini Namibia Mh. Caesar Waitara amewasilisha rasmi nakala ya hati za utambulisho kwa Mh. Netumbo Nandi-Ndaitwah, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa na Uhusiano wa Namibia.
Get latest updates from the High Commission in Your Inbox