Leo tarehe 4/3/2024 Mabalozi wa Cuba, Malaysia, Misri na Ufaransa wanaoziwakilisha nchi zao nchini Namibia wametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia ili kusaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais wa Awamu ya Pili wa Tanzania.



