Mhe. Caesar C. Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia, leo tarehe 12/02/2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Kalumbi Shangula, Waziri wa Afya wa Namibia kwa lengo la kujadili maeneo ya ushirikiano katika sekta za afya kati ya Tanzania na Namibia.



