Leo tarehe 5/3/2024 Mhe. Balozi Caesar Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia ametembelewa na wageni kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa ya Tanzania ambao ni Dr. Geofrid Chikojo na Bw. Dandord Nyandindi ambao wamekuja kutoa mafunzo nchini Namibia kuhusu Huduma Bora za Hali Hewa.
