Viongozi wa Jumuiya ya Diaspora nchini Namibia wametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia ili kusaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais wa Awamu ya Pili wa Tanzania kilichotokea tarehe 29/02/2024.