News and Events Change View → Listing

Balozi wa Tanzania nchini Namibia, Mhe. Balozi Caesar C. Waitara atembelewa na Balozi wa Namibia nchini Tanzania Mhe. Balozi Gabriel P. Sinimbo

Tarehe 19 Desemba 2025, Mheshimiwa Caesar C. Waitara, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Namibia, alipata fursa ya kutembelewa na Mheshimiwa Gabriel P. Sinimbo, Balozi wa Jamhuri ya Namibia…

Read More

Mhe. Balozi Mohamed B. Beigi amtembelea Mhe. Balozi Caesar C. Waitara

Mhe. Caesar C. Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia, tarehe 28 Novemba 2025 alitembelewa na Mhe. Mohamed B. Beigi, Balozi wa Iran nchini Namibia, katika ofisi za Ubalozi kwa ajili ya…

Read More

Mahafali ya kwanza ya wanafunzi 26 raia wa Namibia

Mahafali ya kwanza ya wanafunzi 26 raia wa Namibia waliokuwa wakijifunza lugha ya Kiswahili kwa njia ya mtandaoni katika ngazi ya awali kwa muda wa wiki 15, yamehitimishwa tarehe 19 Novemba 2025 katika Chuo…

Read More

Ubalozi watembelewa na Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima

Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia tarehe 2 Septemba 2025 umepata heshima ya kutembelewa na Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa maendeleo ya jamii, Jinsia, Wanawake  na Wenye Mahitaji Maalum pamoja na…

Read More

Mhe. Balozi ampokea Mhe. Waziri Dkt. Dorothy Gwajima

Balozi wa Tanzania nchini Namibia Mhe. Caesar C. Waitara, amempokea Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Mahitaji Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima aliyewasili nchini humo leo tarehe 1…

Read More

BALOZI WAITARA AFUNGUA MAFUNZO YA KISWAHILI, NAMIBIA.

Balozi wa Tanzania nchini Namibia Mhe. Caesar C. Waitara, amefungua mafunzo maalum ya lugha ya Kiswahili kwa ngazi ya awali jijini Windhoek, Namibia.Akifungua mafunzo hayo Julai 25, 2025 Balozi Waitara ambaye…

Read More

Mhe. Balozi Caesar. C. Waitara amwakilisha Mhe. Jumaa Hamidu Aweso (Mb), Waziri wa Maji katika Mkutano wa 12 wa Kamisheni ya Bonde la Mto Zambezi

Leo tarehe 15/5/2025, Mheshimiwa Caesar Chacha Waitara, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Namibia amemwakilisha Mheshimiwa Jumaa Hamidu Aweso (Mb), Waziri wa Maji katika Mkutano wa 12 wa…

Read More