Balozi Caesar Waitara Aadhimisha Miaka 62 ya Muungano na Watanzania waishio Kaskazini mwa Namibia
Tarehe 3 Mei 2026, Mheshimiwa Balozi Caesar Chacha Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia aliungana na Jumuiya ya Watanzania wanaoishi Kaskazini mwa Namibia, katika mji wa Oshakati, Mkoa wa Oshana,…
Read More





