Tarehe 8 Desemba, 2023, Mhe. Caesar C. Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia alishiriki katika sherehe ya Siku ya Kumbukizi ya Haki za Binadamu Duniani na Siku ya Haki za Wanawake Namibia ambayo ilifanyika katika Mkoa wa Kavango West.