Tarehe 8 Desemba, 2023 Mhe. Caesar C. Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia amekutana na Mhe. Josef Sikongo, Mwenyekiti wa Baraza la Mkoa wa Kavango West kwa lengo la kujitambulisha na kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na Namibia.