Mh. Caesar Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia amemtembelea Mhe. Jenelly Matundu (Mb), Naibu Waziri wa Uhusiano wa Kimataifa na Ushirikiano wa Namibia kwa lengo la kujitambulisha na kuzungumzia masuala mbalimbali ya ushirikiano baina ya Tanzania na Namibia.