Balozi wa Tanzania nchini Namibia Mh. Dkt. Modestus Kipilimba amefanya Mkutano na Jumuiya ya Watanzania waishio mjini Windhoek. Pamoja na mambo mengine mkutano huo ulijadili pia umuhimu wa kuwekeza nyumbani ili kuboresha uchumi wa Tanzania na pia uchumi wao.