Mabalozi watembelea Ubalozi kusaini kitabu cha maombolezo
Leo tarehe 7/3/2024 Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Namibia (Congo Brazzaville, Iran na Venezuela) wametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia ili kusaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha…
Read More






