Leo tarehe 15/06/2024, Mhe. Caesar Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia amefanya kikao kazi na Jumuiya ya Watanzania waishio nchini Namibia. Lengo lilikua ni kujadili masuala mbalimbali yanayowahusu wanajumuiya hao.