Leo tarehe 1 Octoba 2024, Balozi Mindi Kasiga, Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serkali amekutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Caesar Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia kuhusu ziara ya kimkakati ya DGCU nchini Namibia.