Leo, 21/6/24 Mhe Caesar C. Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia ameshiriki na kushuhudia ukabidhiwaji kijiti kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar na Kamisheni ya Utalii Zanzibar kuwa wenyeji wa Kongamano la Aviation Development litakalofanyika mwezi Juni 2025, Zanzibar