Viongozi mbalimbali wahudhuria uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi - Ndaitwah katika Ikulu ya nchi hiyo iliyopo Jijini Windhoek tarehe 21 Machi, 2025.