Leo tarehe 16/11/2023, Mhe. Caesar C. Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia amemtembelea Mhe. Mulum'ajirwa N'owabo Katoto, Balozi wa DRC nchini Namibia kwa lengo la kujitambulisha na kusalimiana.