Kiswahili ni zaidi ya lugha; ni utambulisho unaoonekana katika mavazi, unaoishi katika utamaduni na unaorithishwa kutoka kizazi hadi kizazi.
Katika Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Kiswahili 2026, washiriki walionyesha utajiri wa utamaduni wa Mswahili kupitia mavazi ya asili yaliyobeba historia, mila na desturi za Mswahili.
Utamaduni unaunganisha. Kiswahili kinauendeleza













