Balozi Caesar Waitara ahudhuria Kumbukizi ya Miaka 48 ya Shambulio la Cassinga nchini Namibia
Tarehe 4 Mei 2026, nchini Namibia huadhimishwa Siku ya Mashujaa wa Ukombozi (Cassinga Day), ikiwa ni siku ya kitaifa ya kumbukumbu ya mashujaa waliopoteza maisha yao wakati wa harakati za kupigania uhuru wa…
Read More





