Mhe. Balozi akutana na Waziri wa Kazi, Mahusiano ya Viwanda na Ajira wa Namibia
Mhe. Caesar Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia amekutana na Mhe. Utoni Nujoma. Waziri wa Kazi, Mahusiano ya Viwanda na Ajira wa Namibia kwa lengo la kujitambulisha na kujadili maeneo ya mashirikiano…
Read More






