Timu ya Taifa ya Futsal imeibuka mshindi kwa magoli 5 kwa 2, dhidi ya timu ya Namibia. Mhe Ceasar C. Waitara, Balozi wa Tanzania nchini Namibia pamoja na watumishi wa Ubalozi wameshiriki kikamilifu katika mpira huo ambao ulifanyika katika viwanja vya Windhoek ShowGround, Namibia.