Ubalozi umeendelea kutekeleza Diplomasia ya Uchumi kwa kufanya maonesho ya bidhaa za Tanzania katika mkoa wa Oshana, maonesho hayo yalifanyika kuanzia tarehe 29 April, hadi tarehe 1 Mei, 2022 katika kituo cha biashara cha Gwashamba, mkoa wa Oshana.
Maonesho ya biashara mkoani Oshana
