Ubalozi watembelewa na Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima
Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia tarehe 2 Septemba 2025 umepata heshima ya kutembelewa na Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa maendeleo ya jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Mahitaji Maalum pamoja na Mhe. Mama Anna Mkapa,… Read More